263 – ´Uthmaan bin ´Affaan (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

من أدركه الأذانُ في المسجدِ ثم خرج لم يخرج لحاجةٍ، وهو لا يريد الرجعةَ؛ فهو منافق

“Ambaye adhaana itamkuta msikitini kisha akatoka pasi na haja na hakusudii kurejea, basi ni mnafiki[1].”[2]

Ameipokea Ibn Maajah.

[1] Bi maana amefanya kitendo cha wanafiki, kwa sababu muumini wa kweli hafanyi hivo. Hapa unafiki wa kimatendo na si kwa kiimani. Zingatia jambo hilo, kwa sababu ni muhimu.

[2] Swahiyh kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/224)
  • Imechapishwa: 09/03/2022
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy