Maswahabah wametofautiana juu ya maana ya maneno Yake Allaah (´Azza wa Jall):
يَوْمَ يُكْشَفُ عَن سَاقٍ
“Siku utakapofunuliwa muundi.”
3 – ´Aliy bin al-´Abbaas bin al-Ash´ath al-Ghazziy amenikhabarisha huko Gaza: Muhammad bin Hammaad at-Twahraaniy ametuhadithia: ´Abdur-Razzaaq ametuhadithia: ath-Thawriy ametukhabarisha, kutoka kwa Maslamah bin Kuhayl, kutoka kwa Abuz-Za´raa’, kutoka kwa Ibn Mas´uud, ambaye amesema:
”Bi maana miundi Yake miwili.”
Namna hiyo imekuja katika kisomo cha Ibn Mas´uud, kwa maana kwamba Atafunua (يَكْشِف).
4 – ´Aliy bin al-´Abbaas ametukhabarisha: Muhammad bin Hammaad ametuhadithia: ´Abdur-Razzaaq ametuhadithia: Ibn-ut-Taymiy ametukhabarisha, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Mughiyrah, kutoka kwa Ibraahiym, ambaye ameeleza kwamba Ibn ´Abbaas amesema kuhusiana na maneno Yake (Jalla wa ´azz):
يَوْمَ يُكْشَفُ عَن سَاقٍ
“Siku utakapofunuliwa muundi.”
”Kutafunuliwa jambo kubwa… Vita vinatokana na muundi.”
Ibraahiym ameeleza kuwa Ibn Mas´uud amesema:
”Atafunua muundi Wake ambapo kila muumini atasujudu na kila kafiri atakuwa mgumu, hivyo awe mfupa mmoja.”
5 – ´Umar bin ar-Rabiy´ bin Sulaymaan ametuhadithia huko Misri: Bakr bin Sahl ametuhadithia: ´Abdul-Ghaniy bin Sa´iyd ametuhadithia: Muusa bin ´Abdir-Rahmaan ametuhadithia, kutoka kwa Ibn Jurayj, kutoka kwa ´Atwaa’, kutoka kwa Ibn ´Abbaas, kutoka kwa Muqaatil, kutoka kwa adh-Dhwahhaak, kutoka kwa Ibn ´Abbaas, ambaye amesema kuhusiana na maneno Yake (Jalla wa ´azz):
يَوْمَ يُكْشَفُ عَن سَاقٍ
“Siku utakapofunuliwa muundi.”
”Kwa maana tabu ya Aakhirah.”
6 – Muhammad bin Ayyuub bin Habiyb ar-Raqqiy ametukhabarisha: ´Abdullaah bin Muhammad bin Sa´iyd bin Abiy Maryam ametuhadithia: Muhammad bin Yuusuf al-Firyaabiy ametuhadithia: Warqaa’ ametuhadithia, kutoka kwa Ibn Abiy Najiyh, kutoka kwa Mujaahid aliyesema kuhusiana na maneno Yake (Jalla wa ´azz):
يَوْمَ يُكْشَفُ عَن سَاقٍ
“Siku utakapofunuliwa muundi.”
”Kwa maana ya jambo zito.”
Ibn ´Abbaas amesema:
”Ndio kipindi kizito kitachotakuwa siku ya Qiyaamah.”
7 – ´Aliy bin al-´Abbaas ametukhabarisha: Muhammad bin Hammaad ametuhadithia: ´Abdur-Razzaaq ametukhabarisha: Ma´mar ametukhabarisha, kutoka kwa Qataadah, ambaye amesema kuhusiana na maneno Yake (Jalla wa ´Azz):
يَوْمَ يُكْشَفُ عَن سَاقٍ
“Siku utakapofunuliwa muundi.”
”Kwa maana ya jambo zito.”
Masimulizi kutoka kwa Ibn ´Abbaas yametofautiana juu ya maneno Yake (Jalla wa ´Azz):
يَوْمَ يُكْشَفُ عَن سَاقٍ
“Siku utakapofunuliwa muundi.”
Usaamah bin Zayd amepokea kutoka kwa ´Ikrimah, kutoka kwa Ibn ´Abbaas, ambaye alisoma ”utakapofunuliwa” (يُكْشَفُ). Ya´quub al-Hadhwramiy amepokea kutoka kwa Ibn ´Abbaas, ambaye amesoma ”atafunua” (تَكشِف). Abu Haatim amesema kwamba mwenye kusoma (تَكشِف), kwa maana ya kwamba atafanya hivo huko Aakhirah, anabainisha kitu ambacho hakiko kwake. Mwenye kusoma ”utakapofunuliwa” (يُكْشَفُ) kunakusudiwa ugumu. Hicho ndio kisomo cha wale maimamu saba kukiwemo Twalhah bin Muswarrif na al-A´mash. Ibn Mas´uud alisoma:
“Siku Atakapofunua (يَكْشِف) muundi.”
Abu Haatim as-Sikhtiyaaniy amesema:
”Kwa mujibu wa kisomo cha Ibn Mas´uud al-Akhfash alisoma:
”Siku Tutapofunua (نَكشِف) muundi.”
8 – ´Aliy bin Ahmad bin al-Azraq ametukhabarisha huko Misri: Ahmad bin Muhammad bin Marwaan ametuhadithia: Ahmad bin Muhammad bin Abiy ´Abdillaah al-Baghdaadiy ametuhadithia: Yahyaa bin Hammaad ametuhadithia: Abu ´Awaanah ametuhadithia, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Abu Swaalih, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allâhu ´alayhi wa sallam) amesema kuhusiana:
يَوْمَ يُكْشَفُ عَن سَاقٍ
“Siku utakapofunuliwa muundi.”
”Allaah (Jalla wa Jall) atafunua muundi Wake.”
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 37-40
- Imechapishwa: 08/06/2026

Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 37-40
Imechapishwa: 08/06/2026
https://firqatunnajia.com/02-allaah-atafunua-muundi-wake/