Swalah na amani zimwendee bwana wetu Muhammad, jamaa zake na Maswahabah zake.
Allaah (´Azza wa Jall) amesema:
يَوْمَ يُكْشَفُ عَن سَاقٍ
“Siku utakapofunuliwa muundi.”
Vilevile kumetajwa masimulizi yaliyothibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) pamoja makinzano ya Maswahabah na wanafunzi zao juu ya maana ya tafsiri yake.
1 – Muhammad bin Ya´quub bin Yuusuf al-Aswamm ametuhadithia huko Naysaabuur: Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab bin Habiyb an-Naysaabuuriy al-Baswriy ametuhadithia: Ja´far bin ´Awn ametuhadithia: Hishaam bin Sa´d ametuhadithia … (ح) Ibraahiym bin Muhammad ad-Daybaliy ametuhadithia huko Makkah, Ibraahiym bin ´Iysaa ash-Shaybaaniy al-Baswriy ametuhadithia: Suwayd bin Sa´iyd ametuhadithia: Ja´far bin Maysarah as-Swan´aaniy ametuhadithia, kutoka kwa Zayd bin Aslam, kutoka kwa ´Atwaa’ bin Yasaar, kutoka kwa Abu Sa´iyd al-Khudriy, ambaye ameeleza:
”Walimuuliza Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa salalm): ”Tutamuona Mola Wetu (´Azza wa Jall) siku ya Qiyaamah?” Akasema: “Je, mnasongamana katika kuona mwezi usiku wa mwezi mng´aro ambapo hakuna mawingu?” Wakasema: “Hapana.” Akasema: “Basi na nyinyi hamtosongamana katika kuona kimoja wapo.” Itapofika siku ya Qiyaamah basi kutaitwa kwa sauti kwamba kila ummah ufuate kila wachokuwa wakiabudu. Hakutobaki yeyote aliyekuwa anaabudu kitu isipokuwa atakifuata mpaka kubaki waumini pekee. Allaah (´Azza wa Jall) awajie na kusema: ”Waseme: ”Tunajilinda kwa Allaah kutokana nawe! Hatumshirikishi Allaah na chochote.” Ndipo Aseme: ”Je, kuna alama yoyote kati yenu na Yeye?” Waseme: ”Ndio. Atafunua muundi ambapo hakuna yeyote katika wale waliokuwa wakimwabudu Allaah (´Azza wa Jall), isipokuwa watamporomokea kumsujudia.”
2 – Ahmad bin al-Hasan bin ´Utbah ar-Raaziy amenikhabarisha huko Misri: Rawh bin al-Farah amenikhabarisha: ´Abdullaah bin Ja´far al-Wardiy amenikhabarisha huko Misri: Yahyaa bin Ayyuub al-Miswriy ametuhadithia: Yahyaa bin Bukayr ametuhadithia: al-Layth bin Sa´d ametuhadithia, kutoka kwa Khaalid bin Yaziyd, kutoka kwa Sa´iyd bin Hilaal, kutoka kwa Zayd bin Aslam, kutoka kwa ´Atwaa’ bin Yasaar, kutoka kwa Abu Sa´iyd al-Khudriy, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema kuhusiana na:
”Atafunua (´Azza wa Jall) miundi Yake miwili.”
Hadiyth hii ni yenye kuthibiti kwa maafikiano ya al-Bukhaariy na Muslim bin al-Hajjaaj.
Adaam bin Abiy Iyaas amepokea mfano wake kutoka kwa al-Layth bin Sa´d, kutoka kwa Khaalid, kutoka kwa Sa´iyd bin Abiy Hilaal, kutoka kwa Zayd bin Aslam:
”Atafunua (´Azza wa Jall) muundi Wake.”
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 35-37
- Imechapishwa: 08/06/2026

Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 35-37
Imechapishwa: 08/06/2026
https://firqatunnajia.com/01-allaah-atapofunua-muundi-wake/