Zakaah ya mavuno ya viazi


Swali: Je, mavuno ya viazi yanatolewa zakaah yanapofikia kiwango cha kutolea zakaah?

Jibu: Mbogamboga hazitolewi zakaah. Lakini kama viazi hivo anavifanyia biashara, atatoa zakaah ya bidhaa. Katika hali hiyo atatolea zakaah ile thamani yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 17/11/2019