Zakaah kwa wanafunzi mairi


Swali: Wako wanafunzi wazuri wenye kujishughulisha na elimu na hawafanyi kazi pamoja na kwamba wana uwezo wa kufanya kazi…

Jibu: Hawawezi kufanya kazi kwa sababu wameshughulishwa na kutafuta elimu. Wape zakaah. Hakuna neno. Wasaidie kusoma. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiwapa Ahl-ul-Suffah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2019