42. Wudhuu´ wa kawaida kwa mwanamke anayetokwa na utoko


Swali 42: Kwa nisba ya kutawadha kutokamana na utoko inatosha kuosha vile viungo vya wudhuu´ peke yake?

Jibu: Ndio, inatosha kufanya hivo kujengea kwamba ikiwa ni msafi (nao ni ule ambao unatoka kwenye kifuko cha uzazi) na si kwenye kibofu cha mkojo.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: 60 su-aal wa jawaab fiy Ahkaam-il-Haydhw, uk. 36-37
  • Imechapishwa: 15/08/2021