Wudhuu´ kwa maji ya zamzam


Swali: Ni ipi hukumu ya kutawadha kwa maji ya zamzam?

Jibu: Hakuna neno. Maji ya zamzam ni maji matukufu. Sahihi ni kwamba hakuna neno kuyatawadha. Kuna baadhi ya wanachuoni wanaona kuwa mtu asijisafishe nayo chooni. Maoni sahihi ni kwamba ajisafishe.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
  • Imechapishwa: 01/05/2018