Kwa wale wanaotaka kupokea makala mbalimbali kuhusiana na dini yao kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah kwa ufahamu wa Salaf, basi mnakaribishwa kujaza taarifa zote hapo juu kisha ututumie. Tanbihi! Usisahau kuandika namba zako. Baada ya kutuma maombi ndani ya siku mbili mpaka tano utaungwa. Zikipita siku nne hujaungwa basi chunguza tena vizuri kama umeandika namba kisawasawa. Wanawake wana gruops zao na wanaume wana gruops zao. Kwa hiyo mnakaribishwa nyote kina baba na kina mama.
Ndugu zenu s; Firqatunnajia.com
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)