Swali: Kuna watu wanaishi karibu na Oman na ni watu wa Yemen. Je, wafunge na Oman au na watu wa Yemen?

Jibu: Wafunge na watu wa mji wao.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
  • Imechapishwa: 10/05/2020