Watoto wa Kiislamu kwenye chekechea (daycare/ nursery school) za kikafiri


Swali: Ni ipi hukumu ya kumuweka mtoto mdogo wa Kiislamu kwa mwangalizi mwanamke wa kikafiri?

Jibu: Haijuzu kufanya hivi. Mwanamke wa kikafiri haaminiwi. Anaweza kumfunza au kumpa mtoto vitu vyenye kumdhuru. Kwa kuwa ni adui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 27/10/2017