Swali: Inajuzu kuwasifu watoto kuwa ni wapenzi wa Allaah kama ilivyoenea kwa ´Awwaam?

Jibu: Iko wapi dalili ya hili? Hakuna dalili juu ya hili. Watoto hawasifiwi kuwa ni wapenzi wala maadui. ´Ibaadah bado haijawawajibikia na bado hawajakuwa na akili. Kwa ajili hiyo haisemwi kuwa ni wapenzi wa Allaah au maadui wa Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (10) http://alfawzan.af.org.sa/node/2053
  • Imechapishwa: 01/01/2017