Watawala wa waislamu wa leo ni makafiri?

Swali: Tunatakiwa kushika msimamo gani juu ya wale wanaowakufurisha watawala wa waislamu wa leo ima kwa jumla au kwa kupambanua? Je, ni katika Khawaarij?

Jibu: Wale wanaowakufurisha watawala wa waislamu ni katika Khawaarij.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 174
  • Imechapishwa: 19/02/2019