Mwathiriwa wa madawa ya kulevya darasani


Swali: Nina rafiki ambaye anafanya madhambi na anatumia baadhi ya madawa ya kulevya. Nataka kumleta katika darsa za kielimu, lakini kuna baadhi ya wanafunzi wamenambia kuwa darsa za kielimu hazisilihi kwa watu kama hawa na badala yake nimpeleke kwa watoa mawaidha. Je, waliosema ni sahihi?

Jibu: Mpeleke kwa watoa mawaidha na katika darsa. Fanya yote mawili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (81) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-1-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 17/02/2018