Wasiokuwa na familia wanaruhusiwa kutoka na Jamaa´at-ut-Tabliygh?


Swali: Watu wa Tabliygh wanatoka kwa ajiili ya Da´wah kwa muda wa siku tatu, arubaini au miezi mine. Ni siku maalum zimepangwa. Je, wanarukhusiwa kuwa mbali na familia zao kwa muda wa siku hizi na kuna…

Jibu: Haijuzu kwao (kufanya) safari hizi hata kama wangelikuwa hawana familia. Kwa kuwa hii ni Bid´ah. Wakiwa na familia na wakawaacha, madhambi yanazidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-11-09.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014