Wasia kwa mume na mke wenye magomvi


Swali: Kulitokea tatizo baina yangu mimi na mke wangu kutokana na ugomvi uliotokea. Karibu miezi mitano anaomba Talaka na bado anaendelea na msimamo wake huo. Ni ipi nasaha yako kwangu na kwake?

Jibu: Nawausia kila mmoja wenu amche Allaah na amtendee wema mwenziwe. Hii ndio nasaha yangu. Ikiwa sikupatia, nendeni katika mahakama ya Kishari´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (63) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13810
  • Imechapishwa: 16/11/2014