Swali: Ikiwa haijuzu kumpa zakaah mume. Kusemwe nini juu ya mke wa ´Abdullaah bin Mas´uud kumpa zakaah yake?

Jibu: Huyo ni mume. Haifai kwa mume kumpa zakaah yake mke wake. Kwa sababu  yeye analazimika kumpa matumizi. Ama mke si lazima kwake kumpa matumizi mume wake. Ndio maana wakatofautiana kama inafaa kwa mume kumpa zakaah mke wake au haifai. Masuala haya wanachuoni wametofuatiani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 04/11/2019