Wakazi wa Makkah wanaingilia wapi kwenye Ihraam?


Swali: Ni wapi wanapoingia katika Ihraam wakazi wa Makkah?

Jibu: Makkah. Anahirimia Makkah. Mkazi wa Makkah anapotaka kuingia katika Ihraam anahirimia Makkah. Lakini ikiwa anataka kufanya ´Umrah, ni lazima atoke Haram ili aweze kungia katika Ihraam. Sehemu iliyo karibu zaidi ni Tan´iym.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 22/10/2017