Swali: Je, inafaa kuweka nia katikati ya kitendo au mwishoni mwake na si mwanzoni mwake?

Jibu: Hapana, ni lazima iwekwe mwanzoni. Ni lazima mtu anuie kabla ya kuingia kwa alfajiri. Hata hivyo katika swawm ya sunnah ni sawa  akaweka nia wakati wa mchana midhali hajala wala hajakunywa. Inafaa kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 03/11/2019