Wajibu wetu juu ya ndugu zetu Kosovo


Swali: Ni lipi la wajibu kwa waislamu juu ya ndugu zetu waislamu huko Kosovo? Je, waislamu wanapata dhambi kwa kufanya upungufu juu ya ndugu zao waislamu Albania?

Jibu: Ni lazima kwetu kuwaombea du´aa, kuwasaidia kwa kiasi cha uwezo na kukemea yale wanayofanyiwa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (08) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191309#219638
  • Imechapishwa: 09/02/2019