Waislamu mafukara pekee


Swali: Je, inafaa kuwapa Zakaat-ul-Fitwr mkafiri wanaofanya kazi?

Jibu: Zakaat-ul-Fitwr hawapewi isipokuwa waislamu mafukara.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/285)
  • Imechapishwa: 04/05/2021