Waendewe wasomaji waaminifu na sio wachawi


Swali: Kuna mambo anayafanya dada yangu yenye kuashiria kuwa amelogwa. Bora nimsomee mwenyewe au nende naye kwa mmoja katika wafanya matabano?

Jibu: Yote mawili yanajuzu. Ima unaweza kumsomea au ukaenda naye kwa wafanya matabano waaminifu. Wafanya matabamo wenye kuaminika na sio wachawi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (64) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/28-07-1438h-fathou.mp3
  • Imechapishwa: 29/07/2017