Vitabu vya Suufiyyah, Khawaarij, Rawaafidhw, Ikhwaaniyyah, Qutbiyyah


Tunatahadharisha dhidi ya vitabu vya Bid´ah na upotofu. Kama vitabu vya Suufiyyah, Khawaarij, Rawaafidhw, Ikhwaan al-Muslimuun, Qutbiyyuun na kadhalika. Vyote hivi vinaingia katika vitabu vya Bid´ah na upotofu. Tunatahadharisha vijana wa Ummah dhidi yavyo. Na kanda za watu sampuli hii inayokhalifu manhaj ya Salaf.

  • Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/catplay.php?catsmktba=355
  • Imechapishwa: 05/09/2020