Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali nyuma ya ambaye anawatukana Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum)?

Jibu: Hawa ni Raafidhwah. Unaswali nyuma ya Raafidhwah? Usiswali nyuma yao na wala usiwakaribie.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
  • Imechapishwa: 23/07/2017