Swali: Inajuzu kumpa zakaah mtu ambaye ni muhitaji ili asimamie safari ya mke wake?

Jibu: Midhali ni muhitaji na ni fakiri na wala hawezi kusimamia safari ya mke wake, mpa zakaah. Isipokuwa tu ikiwa anasafiri bila Mahram; katika hali hiyo usimpe kwa sababu kufanya hivo ni kusaidiana katika dhambi na uadui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2019