Usikae na ´Awwaam wa Ahl-ul-Bid´ah baada ya bayana


Swali: Salaf wamekataza kukaa na Ahl-ul-Bid´ah. Je, ´Awwaam ambao wanafanya Bid´ah wanaingia katika makatazo haya?

Jibu: Wakibainishiwa na wakaendelea kufanya Bid´ah mtu asikae nao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14020
  • Imechapishwa: 19/04/2018