TV nyumbani – mlango wa shari zote


Swali: Mimi ni mwanaume ambaye nimeoa na mke wangu ameniomba nimletee Televisheni. Je, inajuzu kwangu kumletea?

Jibu: Haya sio katika maslahi yake. Kwa kuwa Televisheni mara nyingi inatumiwa katika shari. Wanawake hawakusudii kheri. Hukusudia mambo yaliyo na nyimbo na kadhalika. Usimtekelezei hilo. Mnasihi na umbainishie kuwa ni khatari na ni mlango wa shari. Mwambie kuwa ina chaneli mbaya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13832
  • Imechapishwa: 16/11/2014