Takfiyr za kijinga za vijana juu ya watawala


Swali: Ni ipi nasaha yako kwa baadhi ya vijana ambao wanamtukana na huenda wakamkufurisha mtawala kwa kushirikiana na makafiri na wanasema kuwa huku ni kuwasaidia makafiri?

Jibu: Kwa kuwa hawajui ni nini Muwaalaah. Ni wajinga. Haijuzu kwao kuzungumza juu ya hukumu za Kishari´ah ilihali hawajui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (67) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13854
  • Imechapishwa: 16/11/2014