Swawm ya Nabii Daawuud kwa muda maalum

Swali: Inafaa kwangu kuweka nia ya kufunga swawm ya Nabii Daawuud (´alayhis-Salaam) lakini hata hivyo kwa muda wa mwaka mmoja tu?

Jibu: Hakuna neno. Swawm hii ni imependekezwa tu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (19) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-22011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 14/12/2019