Swalah ya wanawake wawili wanaoswali mkusanyiko

Swali 273: Inajuzu kwa mwanamke kumwongoza katika swalah mwanamke mmoja? Wapi anasimama yule mwanamke mwenye kuongozwa?

Jibu: Inajuzu kwa mwanamke kuwaongoza wanawake wenzake. Atasimama katikati. Mwenye kuongozwa akiwa ni mmoja atasimama upande wa kuume wa yule anayemwongoza.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 104
  • Imechapishwa: 07/09/2019