Swalah ya wanawake wakiwa mbele ya imamu si sahihi


Swali: Kuna wanawake walioko kwenye bustani mbele ya msikiti wanaswali pamoja na imamu. Ni ipi hukumu ya hilo?

Jibu: Haijuzu. Wakumbusheni. Swalah yao si sahihi. Swalah mbele ya imamu si sahihi. Wanatakiwa waswali nyuma ya imamu. Haifai kwao kuswali mbele ya imamu na kusimama katikati ya imamu na Ka´bah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-02.mp3
  • Imechapishwa: 29/05/2018