Swali Nikiingia msikiti na nikakuta wanataka kuswalia jeneza. Kuna kikosi kingine cha watu msikitini ambao wameanza kuswali. Je, niswali swalah ya jeneza kisha ndio nijiunge pamoja na mkusanyiko?

Jibu: Swalah ya faradhi ni muhimu zaidi kuliko swalah ya jeneza. Swali pamoja nao ambao wanaswali swalah ya faradhi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
  • Imechapishwa: 22/01/2021