Swalah haisihi kwenye msikiti wenye kaburi

Swali: Ziko nchi karibu na nchi zetu ambazo zina misikiti ambayo ndani yake kuna kaburi. Je, inafaa kuswali ndani yake?

Jibu: Swalah haisihi ndani ya msikiti ambao ndani yake kuna kaburi. Ni lazima kwake kuirudi swalah yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (10) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191426#219753
  • Imechapishwa: 20/05/2019