Swadaqah baada ya swalah ya ´Iyd

Swali: Je, ni Sunnah kugawa swadaqah kwa jumla baada ya swalah ya ´Iyd?

Jibu: Ni jambo halina msingi. Lakini ukimuona mtu mwenye kuhitaji mpe swadaqah. Hakuna ubaya. Ama kuona kuwa ni jambo limefungamana na wakati huu hapana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
  • Imechapishwa: 30/05/2019