Sikukuu zengine zote zimezuliwa


Swali: Ni ipi hukumu ya kusherehekea sikukuu zengine mbali na ´Iyd-ul-Fitwr na ´Iyd-ul-Adhwhaa? Je, sikukuu ni lazima iwe kwa kukariri?

Jibu: Allaah amewawekea waislamu sikukuu mbili; ´Iyd-ul-Fitwr na ´Iyd-ul-Adhwhaa. Ama sikukuu zengine zote zimezuliwa. Hivyo haijuzu kuzisherehekea.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
  • Imechapishwa: 30/03/2018