Sigara na mirungi vina madhara


Masuala ya sigara ni miongoni mwa mambo yenye kuudhi na yenye kudhuru pia. Vivyo hivyo mirungi inazingatiwa ni miongoni mwa vitu vyenye kudhuru mwili na kudhuru afya ya mtu. Ni kweli kwamba mirungi inadhuru mwili wako, mali yako na inapoteza muda wako. Kwa hiyo haina kheri yoyote ndani yake. Vi vitu vya khatari kwenye mioyo yetu.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ijaabatu as-Saa-il, uk. 580
  • Imechapishwa: 01/12/2019