Shaykh Rabiy´ anawasambaratisha Hizbiyyuuun

Kwa himdi za Allaah Ahl-us-Sunnah wanaisafisa jamii. Shaykh Rabiy´…

“Hakitoacha kikundi kutoka katika Ummah wangu kuwa ni kishindi juu ya haki. Hakidhuriki na wale wenye kwenda kinyume nao na wala wenye kuwakosesha nusura. Wataendelea kuwa katika hali hiyo mpaka pale itapowafikia amri ya Allaah.”

Shaykh Rabiy´ Saudi Arabia anawasambaratisha kikwelikweli Hizbiyyuun na anayabainisha yale waliyomo.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://muqbel.org/sounds.php?sound_id=6
  • Imechapishwa: 07/04/2017