Swali: Kuna mwanamke wa Kiislamu anaishi katika nchi ya kikafiri na anapanga kufungua saluni kwa ajili ya kupamba nywele za wanawake ambapo katika wateja watakuweko wanawake wa Kiislamu na wa kikafiri. Je, inajuzu?

Jibu: Ni sawa ikiwa atazipamba nywele zao kwa mujibu wa Sunnah. Hata hivyo asiwapambe kwa njia ya haramu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (17) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtf-08011435.mp3
  • Imechapishwa: 25/10/2019