Salamu katika nyumba isiyokuwa na mtu

Swali: Ni upi mtindo bora wa kutoa salamu pindi mtu anapoingia katika nyumba ambayo ndani hakuna mtu?

Jibu: Sijui Sunnah kuhusu hili. Ikiwa ndani hakuna mtu hakuna haja [ya kutoa salamu].

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 11/09/2018