Swali: Msafiri moja ya siku za Ramadhaan amenuia kutofunga. Alipofika uwanja wa ndege safari ikaahirishwa. Ni ipi hukumu ya funga yangu pamoja na kuzingatia kwamba bado sijala?

Jibu: Midhali ulinuia kula basi huna swawm, ni mamoja uliwahi kula au hukula. Kutokana na hili ni lazima kulipa siku hiyo.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: I´laam-ul-Musaafiriyn, uk. 72
  • Imechapishwa: 28/05/2019