Redio ya Sunnah

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Salaf161060
Assalaamu alaykum wa rahmatullaah wa barakaatuh ,vipi inapatikana kwenye play store?
Salaf161291
Darasa nizur sana lakin kunandugu zetu kiarabu nimushikeli kwao mnawasaidiaje?
Salaf164947
Salaf161291
Darasa nizur sana lakin kunandugu zetu kiarabu nimushikeli kwao mnawasaidiaje?
Assallam aleykum warrahmah tullah wabarrakatuh
Salaf164947
Naomba kungekua na ratiba ya hizo hadithi kwa Vitabu vya hadithi mfano jumatatu ni (sahihi bukhari)
Idadi ya watu: 0
Kliki hapa

radio

Redio ya Sunnah


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio ya Sunnah ambayo inacheza Hadiyth mbalimbali za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa masaa 24 kwa kiarabu, jambo ambalo litawawezesha wasikiliza pengine kuhifadhi baadhi ya Hadiyth za الامهات الست ambavyo ni Swahiyh-ul-Bukhaariy, Swahiyh-ul-Muslim, Sunan-un-Nasaa´iy, Sunan Abiy Daawuud, Sunan-ut-Tirmidhiy na Sunan Ibn Maajah.

Ndugu zenu; Firqatunnajia.com

9 comments

 1. أحب الحديث كثيرا

 2. Mungezitengeneza kwa tarjama inaanza kiarabu kisha kiswahili i ingetusaidia zaidi sisi turaaba

 3. Kheri kubwa tunapata faida nyingi kupitia hii App. Baaraka llaahu fiykum Ikhwaa

 4. Maa shaa Allah.
  Mimi na jamaa zangu tunafaidika ya kutosha.
  Allah awajaze kheri masheikh wetu na awazidishhie ilmu ya manufaa.

 5. ALLAH BARIKLANA. TAFSIRI KWA KISWAHILI MUHIMU KUFIKIA UMMA NA KUELEWEKA KWA VIZURI NA KUPATA FAIDA KUBWA.SHUKRAN.

 6. Baaraka Allah

 7. Baaraka llahu fiykum
  Allah akulipeni kila lenye kheri kwa juhudi yenu kubwa ya kuelimisha umma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*