Rawdhat-ul-´Uqalaa´ kwa mwanafunzi anayeanza?

Swali: Kitabu “Rawdhat-ul-´Uqalaa´”[1] cha Ibn Hibbaan ni sawa kwa mwanafunzi anayeanza? 53

Jibu: Ndio. Ni kizuri. Sisi tulikisoma. Kilikuwa katika silebasi zetu za masomo kwa lengo la kukisoma. Kina faida  kubwa.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/category/makala/tawhiyd/imani-kufuru-na-shirki/kwenye-bustani-la-wenye-busara/

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (81) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-1-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2018