Radd Kwa al-Mughaamisiy kujuzisha ala za muziki


Swali: Hivi sasa kuna maswali mengi yemeuliza kuhusu fatwa iliyoenea inayojuzisha nyimbo zinazopitishwa kwenye TV kwa madai ya kwamba haziamshi hisia. Unasemaje juu ya fatwa hii[1]?

Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameharamisha nyimbo na firimbi. Vilevile wanachuoni wameafikiana juu ya hilo, kama alivyosema Shaykh-ul-islaam Ibn Taymiyyah. Asije mtu akavua kitu katika mambo hayo na akafanya kitu kuwa maalum kwamba kinaruhusiwa ilihali Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza na kuharamisha mambo hayo. Haijuzu. Nyimbo aina zote ni

[1] Tazama https://www.youtube.com/watch?v=FweLnxFHXXs

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=TMP0BmfkRdc
  • Imechapishwa: 03/05/2018