Swali: Ni sahihi kuleta Qunuut katika Swalah ya Ijumaa kipindi cha majanga?
Jibu: Kuhusu Ijumaa Du´aa ya Khutbah inatosheleza. Khutbah ni sehemu ya Swalah. Akiomba Du´aa katika Khutbah inatosheleza na asilete Qunuut ndani ya Swalah ya Ijumaa.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (14) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_14.mp3
- Imechapishwa: 17/06/2018