Qaadhiy asiyefahamu masuala ya talaka


Swali: Umesema kuwa warejelewe ma-Qaadhiy katika masuala ya Talaka. Yapi maoni yako ikiwa baadhi ya ma-Qaadhiy hawafahamu masuala ya Talaka na ni nani atakayerejelewa?

Jibu: Sidhani kama kutakuwepo Qaadhiy asiyefahamu masuala ya Talaka. Hawi Qaadhiy isipokuwa yule anayefahamu masuala ya Talaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: www.alfawzan.af.org.sa/node/2926
  • Imechapishwa: 23/02/2018