Propaganda kwenye vyombo vya mawasiliano dhidi ya Saudi Arabia


Swali 30: Wako wanaowaita vijana na khaswakhaswa katika intaneti kujivua bay´ah kutoka kwa mtawala wa nchi hii (yaani Saudi Arabia). Sababu ya hilo ni kuwepo kwa benki za ribaa na wingi wa maovu yaliyo waziwazi katika nchi hii. Ni zipi nasaha zako?

Jibu: Nasaha zangu ni kwamba maneno haya ni batili na hayakubaliki. Kwa sababu analingania katika upotevu na katika kufarikisha umoja. Ni lazima kumkaripia mtu huyu. Ni lazima kuyakataa maneno yake na kutoyaangalia. Kwa sababu anaita katika batili, maovu, shari na fitina. Kuwepo kwa maovu nchini hakupelekei ukafiri wa mtawala.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa ´Ulamaa-ul-Kibaar fiy al-Irhaab wat-Tadmiyr, uk. 141
  • Imechapishwa: 22/09/2019
  • mkusanyaji: Abu Ashbaal Ahmad bin Saalim al-Miswriy