Pombe si pombe


Swali: Ni ipi hukumu ya vinywaji vinavyofanana na pombe katika sifa yake, ladha yake na rangi lakini havina alcohol?

Jibu: Kisicholewesha hakina neno. Asli ni uhalali katika vyakula na vinywaji isipokuwa vinavyolewesha ndio havijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haramhttp://www.alfawzan.af.org.sa/node/13974
  • Imechapishwa: 15/04/2018