Pesa ya ribaa kwa masikini na wahitaji


Swali: Kuna mtu alinipa 70.000 SAR swadaqah na akanambia kwamba ni pesa za ribaa. Nina mafukara wengi. Je, inajuzu kwangu kuwapa pesa hizi?

Jibu: Ndio. Hii ni kama pesa iliopotea. Inatolewa kwa ajili ya manufaa, mafukara, masikini na miradhi ya kijumla. Ni kama pesa iliopotea isiyokuwa na mmiliki. Pesa ya ribaa haina mmiliki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (86) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/NEW.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 30/06/2018