Swali: Ni kipi kigezo cha kujumuisha kati ya Maghrib na ´Ishaa ikiwa kuna mvua?
Jibu: Ni mvua ya kuloa nguo. Wanasema mvua ya kuloa nguo. Ama mvua ndogo au mvua ambayo imefika inasimama, hakuna haja ya kujumuisha.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-10-15.mp3
- Imechapishwa: 10/11/2014