Ni mjinga anayetakiwa kubainishiwa


Swali: Mwenye kusema kwamba jambo la kuamrisha mema na kukataza maovu ni upuuzi mtupu. Je, maneno haya yanazingatiwa ni kufuru?

Jibu: Hapana, hakuzingatiwa ni kufuru. Abainishiwe kuwa ni kosa. Abainishiwe kuwa ni maneno ya kimakosa, kwamba ni maneno yasiyokuwa sahihi na kwamba si mambo ya kipuuzi. Huu ni ujinga. Anatakiwa kubainishiwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 114
  • Imechapishwa: 09/08/2019