Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kuyatembelea makaburi ya al-Baqiy´ au makaburi ya mashahidi kwa ajili ya kutazama?

Jibu: Hapana:

“Allaah amewalaani wanawake wenye kuyatembelea sana makaburi.”

Katika upokezi mwingine:

“… wenye kuyatembelea makaburi.”

Haijuzu kwake. Ni mamoja makaburi ya al-Baqiy´ au mengineyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (49) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m-3%20%20-%2012%20-%202%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 04/11/2018